Uislamu na Mazingira
TEHRAN (IQNA) – Faiza Abbasi, mhadhiri wa vyuo vikuu nchini India ambaye mkurugenzi wa Kituo cha Maendeleo ya Rasilimali Watu cha UGC, amesema Uislamu unafundisha ubinadamu na kutunza mazingira ya sayari ya dunia.
Habari ID: 3476141 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/24